İanələr 15 sentyabr 2024 – 1 oktyabr 2024 Vəsaitlərin toplanılması haqqında

NIAMUE LIPI? MAADILI YA KIKRISTO

  • Main
  • NIAMUE LIPI? MAADILI YA KIKRISTO

NIAMUE LIPI? MAADILI YA KIKRISTO

Daniel J. Seni
Bu kitabı nə dərəcədə bəyəndiniz?
Yüklənmiş faylın keyfiyyəti necədir?
Kitabın keyfiyyətini qiymətləndirə bilmək üçün onu yükləyin
Yüklənmiş faylların keyfiyyəti necədir?
Dunia nzima inahangaika siku hizi kuhusu suala la maadili. Kwa sasa tunazo changamoto mpya ambazo kanisa halijawahi kuzipitia hata siku moja. Ingawa Neno linasema kwamba mambo yote yanayotokea yalishawahi kutokea, lakini jinsi yanavyotokea ni kwa kiwango cha juu sana. Watu wengi hawaelewi waamue lipi katika maisha yao. Tunashuhudia masuala ya kimaadili ambayo hatuna hakika kama yanaenda kinyume na mapenzi ya Mungu ingawa yako katika mjadala mkubwa, na hapa kutoa hitimisho ni kwenda kinyume na masuala ya kitaaluma yanayofanyiwa utafiti.
Kuna mambo kama vile; uvutaji wa sigara, je Biblia imekataza kuvuta sigara? Kuna masuala kama vile ndoa za jinsi moja, je Biblia imekataza? Kuna masuala kama vile unywaji wa pombe, masuala ya kingono ambayo hayako wazi katika Biblia. Hapa ndipo sasa tunapohitaji kitu kinachoitwa “kujua maadili ya kikristo.” Hivi unajua kwamba siku hizi ni jambo la kawaida kwa mkristo kupokea rushwa? Kwa madai kwamba hiyo ni fedha ya shukrani au ya maji? Je kubadilika kwa jina ndio kumehalalisha suala hili? Hivi pia unajua kwamba siku hizi kijana wa kiume/kike kushiriki ngono na mchumba wake ni jambo la kawaida sana? Hata hivyo mtu atakuuliza kwani ni dhambi? Si nitamuoa mwenyewe? Mambo kama haya yanachanganya jamii kwa ujumla. Tunahitaji kuwa na mwongozo wa kuamua katika mambo yetu.
Kitabu hiki ni mwongozo mfupi wa maadili ya Kikristo kwa sehemu fulani. Tutaangalia hoja za msingi kwa ujumla halafu tunaweza kutabanaisha nini tufanye sasa katika maisha yetu ya kila siku.
İl:
2013
Dil:
kikuyu
Səhifələr:
40
Fayl:
PDF, 453 KB
IPFS:
CID , CID Blake2b
kikuyu, 2013
Onlayn oxumaq
formatına konvertasiya yerinə yetirilir
formatına konvertasiya baş tutmadı

Açar ifadələr